Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,925
Wakati zinagawiwa aliona akakaa kimya. Baada ya uchaguzi ndiyo amefahamu kuwa ni rushwa?
Sina imani na Pinda tena.................................... ameshakuwa pombe ya kijani na njano.
Yani saaana!duSijawaiona PM mnafiki kama Pinda!
Pinda ni Mgonjwa anahitaji maombi mazito!