Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
- Thread starter
-
- #101
Sasa ulipoleta andiko specifically juu ubabe wangu binafsi kwani tulikuwa tumeshamalizana na ubabe unaohusu vyama vyetu ambao ndiyo tulianza nao?
Tumalizane kwanza na ubabe juu ya vyama vyetu kama tulivyoanza navyo then twende level ya individuals.Siyo busara kurukaruka!
Wapi nimesema kuwa wewe ni mwanachama wa CCM?Mimi sina chama. Kutokukubaliana kwangu na Chama Cha Demokrasia ya Matusi hakumaanishi mimi ni mwanachama wa CCM. Ndiyo maana hata hapa nimempinga Waziri Mkuu anayetokana na CCM.
Chama changu kipi hicho?Kama wewe umeamua kuwa mbabe kwasababu ya ubabe wa chama chako, bila kujua ubabe unakusaidiaje, huo ndiyo unyumbu wenyewe!
Kwel kakosea tuAcha upuuzi wa kuwadharau watu usiowajua wewe tambala la deki,huu Uzi unashida gani?? Mbona hii platform imejaa matahira wengi Sana?! Kuna haja gani ya kuchangia kila thread tena kwa kuwadharau wenzenu??
Maana sio kwa povu hiloUtakuwa Mwakabibi yule alikuwa mkurugenzi wa manispaa ya temeke
Tayari leo wamepelekwa kisutuHizi kauli huwa ni danganya toto kama vile kuunda tume.
Wapi nimesema kuwa wewe ni mwanachama wa CCM?
Chama changu kipi hicho?
Ni kweli kabisa nina chama lakini sijataja hapa kuwa ni chama gani.Umesema “...vyama vyetu...” Hiyo kauli inamaanisha at least unacho chama. Sihitaji kukuambia chama chako ni kipi; unakijua mwenyewe.
Sijataja mahali popote kuwa wewe ni mwanachama wa CCM.Ni kweli nimepost viongozi wa CCM lakini hiyo siyo iwe lazima kuwa nilikuwa namaanisha kuwa ni chama chako.Kwa kupost hizo picha what if kuna ujumbe nilitaka ukufikie lakini kwa bahati mbaya ukashindwa kunielewa au ukatafsiri vibaya kuwa nilikuwa namaanisha kuwa ni chama chako?Hujasema mimi ni mwanachama wa CCM, lakini kila footage uliyoleta hapa ni ya kiongozi wa CCM. By inference, umesema mimi niko club moja na hao. Otherwise, what did you mean by bringing up those footages? I have already told you, I am not a member of any political party!
Na nina mashaka moto wa soko la Kariakoo ni majibu ya kuundoa uongozi huo. Uchunguzi wa kina unahitajika.Sasa si afadhali PM hata kama anavunja sheria ya DPP kuliko mama Kibyengo kutwa kiguu na njia?
Alivunja uongozi wa soko la Kariakoo, hadi leo hakuna jipya. hatimaye soko limeungua
Kabisa mkuu😂😂Maana sio kwa povu hilo