Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amsimamisha kazi Afisa Manunuzi Wilaya ya Karagwe kwa kutoridhishwa na ujenzi wa Hospitali

Inasikitisha sana...

Hua hawataembeleagi site zao ndiyo maana...
 
Mnawajua vizuri hawa maafisa ununuzi jamani au mwaongea tuuu!??
 
Maafisa manunuzi ni watumishi matajiri mno kuliko watu wanavyofikiria!! Tembelea taasisi hata vyuo vya ualimu vinavyotoa mafunzo ya ualimu vilivyo chini ya serikali ukutane na hiyo miamba "maafisa ununuzi" uone kama kuna naeendesha gari za kijapani!! Ni mwedo wa Discovery na ford ranger !!! Achana na lodge na petrol station wanavomiliki !!!
Sijui kwanini sikusomea uafisa manunuzi aisee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…