LGE2024 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awataka wananchi wa Ruangwa kupiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa

LGE2024 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awataka wananchi wa Ruangwa kupiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amewataka wananchi mkoani Lindi kujitokeza katika uchaguzi WA serikari za mtaa ili kuchagua viongozi watakao waongoza katika awamu ijayo.

Kassim majaliwa amesema hayo mkoani Lindi katika uwanja WA Majaliwa stadium katika fainali za Jimbo cup ambapo fainali ilikutanisha timu ya Kiwengwa FC na Stand united za mkoani Lindi, ambapo kiwenge FC imekuwa bingwa wa mashindano hayo.

Amesema kauli mbiu ya Jimbo cup inayosema Piga mpira Piga Kura hivyo llikupata kiongozi unaye muhitaji ni vyema ukaenda kupiga Kura ili umchague.

 
Back
Top Bottom