Waziri Mkuu Kassim Majaliwa azindua kampeni ya Mama Samia Legal Aid mkoani Lindi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa azindua kampeni ya Mama Samia Legal Aid mkoani Lindi

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Februari 19, 2025 atazindua kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia katika mkoa wa Lindi, kwenye viwanja vya Madini, Ruangwa Mkoani humo.

Lengo la Kampeni hiyo ni kuwafikia wananchi wenye uhitaji na wasio na uwezo wa kumudu gharama za huduma za kisheria. Pia kampeni hiyo itawezesha kupata utatuzi wa migogoro kwa njia mbadala, kuongeza uwajibikaji kwa watendaji na kuimarisha umoja na mtangamano miongoni mwa jamii.

Mpaka sasa kampeni hiyo imefika katika mikoa 16 na kuhudumia wananchi zaidi ya milioni 1

Kaulimbiu ya kampeni hiyo ni “Msaada wa Kisheria kwa Haki, Usawa Amani na Maendeleo”.

kassim.png
 
Back
Top Bottom