Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa wilaya ya Wanging'ombe waliojitokeza kwenye mkutano ambao umefanyika leo Machi 22,2025 katika viwanja vya shule ya sekondari Igwachanya.
Aidha Waziri mkuu amempongeza Dkt Festo Dugange ambaye ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais (TAMISEMI) na mbunge wa Jimbo la Wanging'ombe kwa kazi nzuri anayoifanya katika jimbo hilo huku pia akiwasihi wananchi waendelee kumpa ushirikiano.
Yule aliyesemekana kukutwa na mwanachuo wa UDOM,na hatimaye mauti yakamkuta,siyo huyu kweli?
Kama niyeye,apumzike atafakari lile sakata namna lilivyotokea na kuisha.
Yule aliyesemekana kukutwa na mwanachuo wa UDOM,na hatimaye mauti yakamkuta,siyo huyu kweli?
Kama niyeye,apumzike atafakari lile sakata namna lilivyotokea na kuisha.