Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Waziri Zanzibar aliyekataa kukaa karantini apelekwa kwa nguvu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Waziri Zanzibar aliyekataa kukaa karantini apelekwa kwa nguvu

Sasa yeye Majaliwa anakiri tu kila kosa
Kwanini asiwachukulie hatua za kinidhamu maafisa wa serikali wanao idharau Corona?
 
Walimpeleka kwa nguvu? Hii ina maana watu maarufu na vigogo hawawezi kukaa karantini, rejea hata ile karantini ya mwafatuma na salama siku wote hawakuenda karantini na badala yake walijiweka wao nyumbani
 
Tulitarajia kusikia kachukuliwahatua za kimaadili/kinidhamu. Kumbuka huyu anahusika sana na sheria ya maadili ya viongozi
 
Kuna watu primitive kweli yaani wanaona ni kama utani tu
Hata TB inasambaa hivi kwa watu kama hawa, mtu anaugua halafu hataki kuwakinga wenzake kwa makusudi kabisa


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Dawa ya huyu Majaliwa ni Makonda si juhi kwanini anamwogopa sana Makonda
 
Back
Top Bottom