Waziri Mkuu, kwanini umeficha ripoti ya kuungua kwa soko la Kariakoo? Nini umeficha au unafikiri tumesahau?

Tuanze na ile tume ya Harmonization ya mishahara. Mpaka leo ni miaka karibia 4 kapewa ripoti huyu dingi kaikalia.
 
Kuwa mzalendo in tz yataka moyo sana
 
Atoe kama ile ya BENKI KUU jan -machi
 
Kudanganya Ni mazoea yao, Kuna mwingine alisema atatoa ripoti ya jengo la nasaco lilivyoungua mpaka wa leo Ni jii

Ndio utamaduni wetu, kwani report ya tume ya kuchunguza BOT kuhusu matumizi ya Serikali hadi March 2021 aliyounda RAIS alipoingia madarakani uliisikia matokeo yake?!
 
ripoti ya moto
 
Ndio utamaduni wetu, kwani report ya tume ya kuchunguza BOT kuhusu matumizi ya Serikali hadi March 2021 aliyounda RAIS alipoingia madarakani uliisikia matokeo yake?!
Tz ukisikia imeundwa tume.....jua kesi imeisha
 
"tutaunda tume(mchongo wa per diem) halafu itapita hivi...watanzania ni wasahaulifu ...huu ni upepo tu utapita kama mingine"-alisika jamaa fulani.
 
Nchi nyingine watu wanapambania uongozi ili KUWAKOMBOA WANANCHI

lakin Tanzania watu wanapambania uongozi uli KUMDIDIMIZA MWANANCHI AWE MASIKIN ZAIDI

Ngoz nyeusi n laana kwa kweli

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 

Mkuu hatujasahau leo imeundwa kamati ya soko lingine wakati hii bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…