Waziri Mkuu, kwanini umeficha ripoti ya kuungua kwa soko la Kariakoo? Nini umeficha au unafikiri tumesahau?

Nafikiri uanzishwe uzi wa matamko ya Waziri Mkuu na Matamko na maagizo ya mkuu wa nchi. Hii itatusaidia kufuatilia maamuzi kwa manufaa ya wananchi.

Itakuwa hatari sana maana wataonekana waongo!
 
Soko la Karume nalo limeungua..

Wameunda Tume ya masaa 72 kuchunguza moto wa Karume
 
Wahenga walisema, mficha uchi hazai na mficha maradhi kifo humuumbua. Sasa kuungua kwa soko la Karume leo wameumbuka.

Tunataka ripoti ya Tume iliyoundwa kuchunguza kuungua soko la Kariakoo otherwise hii Time iliyoundwa ya soko la Karume haina maana.
 
Kuyachoma moto masoko pia huwa ni mbinu ya kishetani Ili kuwalazimisha wafanyabiashara kupisha ujenzi bila kupenda
 
Soko la Karume nalo limeungua..

Wameunda Tume ya masaa 72 kuchunguza moto wa Karume

Hahahaha hiyo report ya siku saba lazima iseme ni short ya umeme!
 
Kuyachoma moto masoko pia huwa ni mbinu ya kishetani Ili kuwalazimisha wafanyabiashara kupisha ujenzi bila kupenda

Anakuja mwekezaji pale hahahahaha
 
Wahenga walisema, mficha uchi hazai na mficha maradhi kifo humuumbua. Sasa kuungua kwa soko la Karume leo wameumbuka.

Tunataka ripoti ya Tume iliyoundwa kuchunguza kuungua soko la Kariakoo otherwise hii Time iliyoundwa ya soko la Karume haina maana.

Walisha watuhumu watu wameunguza sasa report naona ilisema kinyume na matatajio ya Rais na waziri mkuu...
 
Mkuu pia usisahau kumkumbusha na ile ripoti ya roli la mafuta kule morogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…