Pre GE2025 Waziri Mkuu, Majaliwa agawa mitungi ya gesi kwa wanawake 3000 kuhamasisha nishati safi

Pre GE2025 Waziri Mkuu, Majaliwa agawa mitungi ya gesi kwa wanawake 3000 kuhamasisha nishati safi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

upupu255

Senior Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
119
Reaction score
144
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa March 06, 2025 amegawa mitungi ya gesi kwa zaidi ya wanawake 3000 ili kuunga mkono jitihada za Mheshimiwa Rais za matumizi ya nishati safi na utunzaji wa Mazingira.

1741330988717.jpeg
Mitungi hiyo imeuzwa kwa bei ya ruzuku ya Shilingi 19,500 ambako wanawake hao wamechangia kiasi hicho cha fedha na tayari zaidi ya Milion 40 zimeshakusanywa na kulipwa kwa kampuni ya Taifa Gas kwa ajili ya kuwapa wanawake hao.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kuelekea siku ya wanawake Duniani ambayo huadhimishwa kila tarehe 8 ya mwezi March kila mwaka kumefanyika makongamano mbalimbali nchini ambapo leo March 6, 2025 ni zamu ya kongamano hilo la kanda ya kisini linalofanyika Wilayani Nachingwea katika Viwanja vya Maegesho ya malori.

Moja katika ya mada kubwa katika makongomano haya ni Matumizi ya nishati safi na utunzaji wa Mazingira.

1741331004201.jpeg

1741331061532.jpeg

 
Viongozi wame jaa ushuzi kichwani, hivi mitungi ndio mahitaji ya mwananchi wa kawaida?.

au ndio kuonekana mna jali, ili mnunue kura zao?
 
Back
Top Bottom