Waziri Mkuu, Majaliwa agoma kufungua barabara Liwale Lindi kwa sababu haina taa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri mkuu mh Majaliwa amegoma kufungua barabara yenye urefu wa km 1.5 Liwale mkoani Lindi kwa sababu haina taa.

Mh Majaliwa amesema ramani inaonesha barabara ikikamilika itakuwa na taa hivyo hawezi kuifungua mpaka hapo itakapowekewa taa.

Barabara.jpg

Chanzo: ITV habari
 
Waziri mkuu mh Majaliwa amegoma kufungua barabara yenye urefu wa km 1.5 Liwale mkoani Lindi kwa sababu haina taa.

Mh Majaliwa amesema ramani inaonesha barabara ikikamilika itakuwa na taa hivyo hawezi kuifungua mpaka hapo itakapowekewa taa.

Source: ITV habari

F771D56F-DE86-444F-9B63-CA893CEC1E60.jpeg
 
Back
Top Bottom