Waziri mkuu mh Majaliwa amegoma kufungua barabara yenye urefu wa km 1.5 Liwale mkoani Lindi kwa sababu haina taa.
Mh Majaliwa amesema ramani inaonesha barabara ikikamilika itakuwa na taa hivyo hawezi kuifungua mpaka hapo itakapowekewa taa.
Source: ITV habari