kwani si tuna wagonjwa 18 tuu!? huko kujaa kunatoka wapi, au ndio tunadanganywa data.Amesisitiza kuwa Temeke bado hakujajaa
kwani si tuna wagonjwa 18 tuu!? huko kujaa kunatoka wapi, au ndio tunadanganywa data.
Sidhani kama ana lala vizuri masikiniUmmy mwalimu namuona kwa mbali kama kachoka hivi hili janga ni baba lao. Huyu mama namuonea huruma mzigo ni mzito sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani si tuna wagonjwa 18 tuu!? huko kujaa kunatoka wapi, au ndio tunadanganywa data.
Alafu bahati mbaya awe na mume asiyemwelewa😉!Sidhani kama ana lala vizuri masikini
mume mbali boss anaengoja all the credits and once he didn’t receive them you are fired.Alafu bahati mbaya awe na mume asiyemwelewa😉!
Aah wapi saa nyingine ndo muda wa malupulupu huu!!Sidhani kama ana lala vizuri masikini
Hatari sanaHapo kuna mmoja ana mafua na anamsogelea waziri mkuu ?