Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Zitto siyo serikali, Zitto hakusanyi kodi, Zitto ni raia kama wewe hivyo unayomsema ndivyo nawe ulivyo, hata viongozi unaowasifu ni pesa zako na wenzako wanazielekeza sehemu husika.Hamna mwanasiasa yoyote atakayeweza kumchafua Magufuli.
Kazi za Magufuli zinaonekana kwa macho ila kazi za wachafuzi hamna hata moja inayoonekana wamekalia maneno matupu tu.
Kwa hiyo huyo Zito amepoteza muda wake na heshima yake kwa jamii.
Kumbe si mwendakuzimu peke yake alikuwa na file Mirembe, bali hata nyinyi masuria yake.Hamna mwanasiasa yoyote atakayeweza kumchafua Magufuli.
Kazi za Magufuli zinaonekana kwa macho ila kazi za wachafuzi hamna hata moja inayoonekana wamekalia maneno matupu tu.
Kwa hiyo huyo Zito amepoteza muda wake na heshima yake kwa jamii.
Kamati haina mtu wa kanda ya ziwa wala kaskazini. Wajumbe watatu wote ni kutoka mkoa mmoja wa Singida. Really? Ni vizuri hizi teuzi zizingatie uwiano wa kitaifa ili kuepuka distortions ktk mgao wa raslimali, huduma na maendeleo ktk taifa letu.Waziri mkuu mh Majaliwa ameunda kamati itakayosimamia fedha ya Covid 19 iliyotolewa na IMF jumla ya tsh 1.3 trillion
Mwenyekiti ni mh Jenister Mhagama
Wajumbe ni Dr Ndumbaro, mh Ummy Mwalimu , Prof Kitilla Mkumbo, Dr Mwigullu Nchemba, Dr Gwajima na mh Awesu
Mh Majaliwa ameonya kuwa isitolewe hata senti 5 katika fedha hizi kwa ajili ya kulipana posho kwa namna yoyote ile
Source: ITV habari
Mwingine atakuja waislamu/wakristo ni wengi, wanawake wapo wachache, wahindi/waarabu hamna hata mmoja. Vitu vingine ni kujipa msongo tu wa mawazo.Kamati haina mtu wa kanda ya ziwa wala kaskazini. Wajumbe watatu wote ni kutoka mkoa mmoja wa Singida. Really? Ni vizuri hizi teuzi zizingatie uwiano wa kitaifa ili kuepuka distortions ktk mgao wa raslimali, huduma na maendeleo ktk taifa letu.
Tunazungumzia "equitable distribution" of appointments and allocation of resources. Ni jambo la msingi kwa mustakabali wa nchi - kote duniani. Ni angalizo na ushauri tu. Get me right comrade.Mwingine atakuja waislamu/wakristo ni wengi, wanawake wapo wachache, wahindi/waarabu hamna hata mmoja. Vitu vingine ni kujipa msongo tu wa mawazo.
25T zipi hizo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi vipimo vya akili vinapimwa wapi?Hamna mwanasiasa yoyote atakayeweza kumchafua Magufuli.
Kazi za Magufuli zinaonekana kwa macho ila kazi za wachafuzi hamna hata moja inayoonekana wamekalia maneno matupu tu.
Kwa hiyo huyo Zito amepoteza muda wake na heshima yake kwa jamii.
Hii kamati inafanya kazi kweli? Hivi Ummy na Gwajima, mnatambua yanayoendelea kwenye wizara zenu?Waziri mkuu mh Majaliwa ameunda kamati itakayosimamia fedha ya COVID-19 iliyotolewa na IMF jumla ya tsh 1.3 trillion.
Mwenyekiti ni mh Jenister Mhagama.
Wajumbe ni Dr Ndumbaro, Mh Ummy Mwalimu, Prof. Kitilla Mkumbo, Dr Mwigullu Nchemba, Dr Gwajima na Mh Awesu.
Mh Majaliwa ameonya kuwa isitolewe hata senti 5 katika fedha hizi kwa ajili ya kulipana posho kwa namna yoyote ile.
Chanzo: ITV habari