Waziri Mkuu Majaliwa: Hatutomwacha DP World aende zake

Yote tisa, kumi.... Ukomo wa mkataba, maslahi zaid kwa Taifa, uwajibikaji, na fursa kwa watanzania ni mambo muhimu san!!!
 
Wanashangaza sana wanapoamua kutumia miguvu kama madikteta, kama mmeshindwa kujibu maswali ya watanganyika kuhusu huo uwekezaji wa mwarabu wa kinyonyaji msijidanganye kwa kulazimisha, hii nchi sio ya viongozi, ni ya watanganyika, tuheshimiane.
hivi nyie mataahira mnataka mmpewe majibu gan ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…