Sijakuelewa ulikua na nia gani ila baada ya leo kusema kuwa huna Nia ya kuendelea na ubunge katika Jimbo la ruangwa angalau nimekuelewa.
Staafu na Heshima Yako kama unatamani sana kuendelea kuwatumikia watanzania kwa sasa chukua fomu ya Urais (ingawa ndio imeshapigwa block Tena kwenye chama)
Tuendelee kuomba mbadala wa katiba.