Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Zile mia mia na hela za michango ya mitihani na nyingine ambazo hazina maelezo yanayoeleweka toka kwa mkuu wa wilaya au mkurugenzi mjue ni usumbufu kwa wazazi.
Hapo mzazi akigoma kulipa mwanafunzi anachapwa au anaambiwa asiende shuleni, haya matamko ya kisiasa yanaharibu sana elimu nchini.
Soma Pia: Wazazi wa wanafunzi Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA, tumechoka na Michango, Rushwa, Utumikishwaji wa watoto wetu shuleni