Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Kassim Majaliwa, ameongeza miezi mitano ya ukomo wa matumizi ya nishati chafu iliyokuwa ikamilike Desemba mwaka jana, kwa Taasisi zinazohudumia watu zaidi ya mia moja kutumia nishati safi ili kuepukana na changamoto ya ukataji wa miti hovyo.
Soma Pia: Waziri Mkuu Majaliwa: Disemba 31, 2024 siku ya mwisho kwa matumizi ya Mkaa na Kuni Taasisi za Umma
Soma Pia: Waziri Mkuu Majaliwa: Disemba 31, 2024 siku ya mwisho kwa matumizi ya Mkaa na Kuni Taasisi za Umma