Waziri Mkuu Majaliwa nahisi kwa hili la Kiwango cha 'UKIMWI' Tanzania ' Umedanganywa' na uliowaamini kiutendaji huko Serikalini

Waziri huyu anapenda sana taarifa za uongo sijui kwa nini. Anaweka siasa siasa za kibongo kwenye hadi issues zinazohitaji useriousness! Target yake daima ni kuonyesha kuwa awamu yake imekuwa bora zaidi ya zilizopita hata kama anadanganya waziwazi. Anadharaulika sana kwa mwenendo huu.
 
Huko kwa Mpalange inaelekea kuna mademu wazuri wazuri mpaka wao wanafanya kwa buku mbili huku huko Mbagala,Buguruni na Sugar Ray wakifanya buku buku
 
Yani unategemea watu wa Tacaids wakwambie ukimwi umeshuka ili wao wakose funding sio...
Haya mambo yenye personal interests yapo fabricated sana..
Tuombe uzima tu
 
Ila ukweli ni kuwa ujio wa Corona umefanya watu wengi kuusahau ukimwi hivyo kujiendea ovyo tu kama mambwa koko. Ngoma ipo na ipo sana,na huu ndiyo ukweli wenyewe,au nasema uongo ndugu zangu?
Ah wacha kutisha watu. Ngoma kitu gani bwana wewe...mtiti upo kwenye kuugua kisukari bwana. Bora nipate ngoma lakini sio kisukari.
 
Hatari sana mikoa yetu hii hasa mbeya na iriinga
ukimwi upo unaenea kwa kasi sana
 
Ni kweli mkuu ukimwi upo mwingi sana sana na bahati mbaya tulio wengi hatuutilii maanani twauona kama Mafua lakini unapukutisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ