The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Yaani cha maana umeona ni plate number ya gari yake kuliko kazi atakayofanya!!Yaani hiki cheo Cha naibu waziri mkuu hakika kinayo mengi....Kuna wenzetu wamezaliwa na bahati Sana vyeo viwili. Raha Sana sijui gari lake litaandikwaje namba plate yake
Yaani hiki cheo Cha naibu waziri mkuu hakika kinayo mengi....Kuna wenzetu wamezaliwa na bahati Sana vyeo viwili. Raha Sana sijui gari lake litaandikwaje namba plate yake
Duh,watu kwa kuwa batiza wenzenu majina [emoji1]Diblo Dibala
Biteko yuko vizuriUkiwa mchapa kazi na huna blaa blaa lazima bahati zikukimbilie. Biteko ni lichapa kazi sana, na yuko firm.
Ni mbunge pia unasahauYaani hiki cheo Cha naibu waziri mkuu hakika kinayo mengi....Kuna wenzetu wamezaliwa na bahati Sana vyeo viwili. Raha Sana sijui gari lake litaandikwaje namba plate yake
Ndo nani huyo?Diblo Dibala