Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Kassim Majaliwa ulijijengea heshima yako kwa muda mrefu Sana ukaonekana ni mtu usiyekuwa masihara na hauna utani lakini naona unaanza kuambatana na kundi lisilo na mvuto nakuhakikishia heshima yako hii uliyojitengenezea itapotea mithili ya mchanga wa mwambao
watu wakubwa na heshima zenu mnaanza kuongea mambo ya fomu moja kwa kipindi hiki ambacho nchi inapitia changamoto ngumu na nzito kwa kweli mnawakosea Watanzania kwa nini ninyi mnawaza uchaguzi tuu? vipi Hali ya wananchi mnashughulika nayo vipi? tuwaelewe nini sisi wananchi tunawachagua mkawaze uchaguzi
Lakini hata hivyo huyo mama mnayemdanganya mnamchapishia fomu moja ni kwa idhini ya kikao gani ndani ya chama,?