Majaliwa ana akili na busara sana, genge la chato lilidhani litamtumia kukivuruga chama, amekataa kata kata, Polepole na Bashiru wamembembeleza atangaze nia, lakini amesema anaheshimu chama kilichomlea.
Hili ni pigo kubwa sana kwa Chato gang ambao wana kiu kali sana (unquenchable thirsty) ya madaraka.
Tuna imani ndani ya miaka mitano mingine, mfumo utakuwa umelifuta kabisa genge hilo. Eti Polepole anapelekwa ubalozi ukanda wa gaza akadundwe na mabomu ya israel?