Waziri Mkuu Majaliwa: Wanawake wanapewa kipaumbele zaidi kwenye ajira kufikia Sera ya 50/50

Waziri Mkuu Majaliwa: Wanawake wanapewa kipaumbele zaidi kwenye ajira kufikia Sera ya 50/50

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema: "Tunapozungumzia kwenye ajira, Serikali nayo inawaangalia sana wanawake, pale ambapo kunakuwa na ushindani wa mwanamke na mwanaume, basi nafasi ya kwanza anapewa mwanamke. Hayo ni malengo ya Serikali ya kufikia 50/50."

Si kwa uwezo ila kwa jinsia? And you wonder why performance haingezeki?
 
Sio tu kwenye ajira hata kwenye teuzi fulani pale Dodoma🐼
 
Back
Top Bottom