Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda azindua maonyesho ya michoro ya India jijini Dar

Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda azindua maonyesho ya michoro ya India jijini Dar

Abdull Kazi

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
337
Reaction score
296
Waziri Mkuu mstaafu Mheshimiwa Mizengo Pinda akizindua maonyesho ya michoro ya Msanii wa India Bw Narendar Reddy katika Ukumbi wa Ubalozi wa India .

Katika uzinduzi huo uliofanyika Jana pia jumla ya picha 20 zilizochorwa na wasanii wa Tanzania chini ya uongozi wa Narendar Reddy zilionyeshwa kwenye maonyesho hayo.

Maonyesho hayo yaliyozinduliwa Jana yataendelea kuwa wazi hadi tarehe 6 Julai 2022

Muda wa kuanzia kwa maonyesho ni kila siku ni saa 10.30 asubuhi hadi saa 6.00 jioni kwenye ukumbi wa Ubalozi wa India ulio mtaa Shaaban Robert nyumba namba 213/51 jijini Dar es Salaam.

@Wizara ya Mambo ya Nje, Serikali ya India Diplomasia ya India Baraza la Uhusiano wa Kitamaduni PMO India

FB_IMG_1656867786155.jpg
FB_IMG_1656867792147.jpg
FB_IMG_1656867767948.jpg
FB_IMG_1656867767948.jpg
FB_IMG_1656867798805.jpg
 
Tangu afe mwendazake Huyu PM pinda amekua akitokelezea xn katka ulingo wa siasa, he is very active in deed
 
Back
Top Bottom