Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
October hakuna mvua mvua ni Mwezi wa 12 tarehe za mwishoni nakumbuka mwaka jana na mwaka juzi mvua zilianza mwezi wa 8 kuelekea wa 9 hadi wa 10,11 na 12 mvua zilinyesha vizuri tu yaan 2024 na 2025 ila mwaka huu mwezi wa 8 hakuna mvua mwezi 9 hakuna mvua huu mwezi wa 10 pia mvua hakuna mwezi wa 11 hakutakua na mvua mpaka mwezi wa 12 mwishoni kipindi cha Christmas ambapo mvua hainyeshagi hivyo ila mwaka huu inaenda kunyesha huko unasherehekea Christmas upo kwenye mtumbwiAkizungumzia maandalizi ya msimu wa mvua za vuli wa Oktoba hadi Desemba
Maafa ya taifa letu ni nyinyi na siyo majanga ya kimaumbile. Usitudanganye na kutuondoa kwenye hoja ya msingi. Watanzania wajikinge dhidi ya nyinyi watawala wabaya ambao sasa mnaitwa machawa na mfuga chawa mkuu toka kizinkazi.πͺππππ₯π π ππ¨π¨: ππ¨πππ‘ππ π¨π¦π§ππππ ππππ©π¨ πππππ π¬π π ππππ π‘π πͺπππππ¨ πͺπ ππππ π π π’ππ
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kujenga ustahimilivu dhidi ya maafa ni wajibu wa pamoja unaohitaji ushiriki wa serikali, sekta binafsi na jamii, akisisitiza umuhimu wa maandalizi kuanzia katika ngazi ya kaya.
Dkt. Mwigulu amesema hayo leo, Oktoba 13, 2026, wakati akitoa tamko la kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Hatari ya Maafa katika Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga, mkoani Rukwa.
Amesema serikali itaendelea kuimarisha mifumo ya kuzuia na kupunguza athari za maafa katika ngazi ya taifa na jamii, kuboresha utoaji wa taarifa na kuongeza uhamasishaji wa umma kuhusu hatua za tahadhari na maandalizi.
Waziri Mkuu amesisitiza kuwa familia ndiyo msingi wa jamii, hivyo usalama na ustahimilivu wa kaya ni muhimu katika kuijengea jamii uwezo wa kujiandaa, kukabiliana na maafa na kurejesha hali ya kawaida baada ya kutokea.
Aidha, amehimiza mamlaka za serikali za mitaa, taasisi za utafiti, mashirika yasiyo ya kiserikali, vyombo vya habari, taasisi za dini na viongozi wa kimila kushiriki katika kuimarisha maandalizi na ustahimilivu wa jamii dhidi ya maafa.
Akizungumzia maandalizi ya msimu wa mvua za vuli wa Oktoba hadi Desemba, amewataka wananchi kuzingatia tahadhari zilizotolewa na kujiandaa mapema ili kupunguza hatari na athari za maafa.
Kotojenga ustahimilivu dhidi ya maafa itapendeza zaidi.πͺππππ₯π π ππ¨π¨: ππ¨πππ‘ππ π¨π¦π§ππππ ππππ©π¨ πππππ π¬π π ππππ π‘π πͺπππππ¨ πͺπ ππππ π π π’ππ