WAZIRI MKUU SERIKALI YA WANAFUNZI-SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE[sua]

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Napenda kutoa pongezi ya dhati kwa pm sua,kwa jitihada anazofanya kusaidia wanafunzi mbalimbali wenye matatizo mfano-shida ya mkopo na walikuwa na shda ya kuhamishwa course....
 
Hongera waziri mkuu,kwa msaada ulionipa hadi leo nipo sua tenah!,kwani nilikuwa nimekata tamaa na kusoma chuo thanks a lot!
 
si ungem2mia meseji privately!..,ss unataka wa2 wakoment nn kwa topic km hii
 
Copy ya Shukran peleka kwenye MINADA YA NG'OMBE,MABANDA YA NGURUWE,MASHAMBA DARASA YA VYAMA VYA WASHIRIKA n.k huko utawapata wadau zaidi kuliko huku ambao wapo wachache
 
sawa mkuu
 
whats this, au nako huwa kuna kampeni za urais/uwaziri mkuu hahahaha
 
Napendga kutoa pongezi ya dhati kwa pm sua,kwa jitihada anazofanya kusaidia wanafunzi mbalimbali wenye matatizo mfano-shida ya mkopo na walikuwa na shda ya kuhamishwa course....

thn nlisikia kuwa rais wenu amedisco nyny sua vp wm kweli??????
 
umetisha mkuuu

Siyo hivo Kiogonzi, mwenyewe nimemaliza hapo kuna lecturer mmoja part time alikuwa anatoka Udsm alikuwa anapenda sana kuitumia hiyo kauli (SUA is Advanced high school), kwa sababu walikuwa wanachakachua matokeo yake ili waongeze sup., wenyewe wanaita ku-standardize kama watu wamefaulu sana wanawarudisha wengine kwenye D.
 
hapa kweli, eti wanafunzi wakifaulu sana, mwalimu wa somo anaulizwa kwa nini wamefaulu sana, au kwa nini kuna A nyingi, kinachofuta E na D kibao.
 
sua pagumu kaka
 
hapa kweli, eti wanafunzi wakifaulu sana, mwalimu wa somo anaulizwa kwa nini wamefaulu sana, au kwa nini kuna A nyingi, kinachofuta E na D kibao.

hiki n chuo chenye elimu ngumu tz
 
Napenda kutoa pongezi ya dhati kwa pm sua,kwa jitihada anazofanya kusaidia wanafunzi mbalimbali wenye matatizo mfano-shida ya mkopo na walikuwa na shda ya kuhamishwa course....

hamna mtu mnafiki kama huyo waziri mkuu...huyo mtu ni papeti wa wakubwa hapo SUA na ameplay role kubwa katika kumfukuzosha rais mathalani juzi kati kulikuwa na kikao cha viongozi wa suaso yeye akawa anarecord matukio yote ili apeleke management so huyo waziri mkuu ni mbaya sana kama simba na anaroho kama ya simba....mwangalie sana..mdogo wangu lugano soma shule ukikaa kuandika kila kitu cha sua humu aiseee na ogopa kuwa utaliwa kichwa....
 
Back
Top Bottom