Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni?😟Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watanzania waendelee kuchukua hatua dhidi ya COVID-19
Amesema hadi sasa kuna wagonjwa wachache ambao wanatakiwa kuendelewa kuombewa ili kupona
Amesema hayo katika baraza la eid el-adha baada ya swala ya Eid iliyofanyika Msikiti wa Mtoro, Dar es Salaam

Nimeyakumbuka yale maneno yake kule Msikitini siku alipotutangazia kuwa mwendazake yupo busy na mafaili wanataka wamuone akizurura Manzese?Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watanzania waendelee kuchukua hatua dhidi ya COVID-19
Amesema hadi sasa kuna wagonjwa wachache ambao wanatakiwa kuendelewa kuombewa ili kupona
Amesema hayo katika baraza la eid el-adha baada ya swala ya Eid iliyofanyika Msikiti wa Mtoro, Dar es Salaam
Kwani lini walikuwa wachache?Nenda mortuary ya KCMC na Mawenzi mkoani Kilimanjaro ukijionee maiti walivyo wengi.
Nenda mortuary ya KCMC na Mawenzi mkoani Kilimanjaro ukijionee maiti walivyo wengi.
Mie siamini tena lolote linalosemwa na Waziri Mkuu. Alishajidhihirisha kwamba ni mwoingo hana hata aibu kudanganya akiwa msikitini, sembuse nje ya msikiti?Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watanzania waendelee kuchukua hatua dhidi ya COVID-19
Amesema hadi sasa kuna wagonjwa wachache ambao wanatakiwa kuendelewa kuombewa ili kupona
Amesema hayo katika baraza la eid el-adha baada ya swala ya Eid iliyofanyika Msikiti wa Mtoro, Dar es Salaam
Idadi wewe inakusaidia nini kwa mfano ukishaijua. .unaipeleka wapi. .au itakusaidia we we kuponaKwa hiyo hata idadi hajui.
Ajue wapi kwani walishawahi kuweka kumbukumbu(data) zozote za covid?Kwa hiyo hata idadi hajui.
Uamini usiamini haina impact yoyote kwa Taifa. ..wala huhitaji kutuambia umma ambao unamkubali kwa asilimia 90Mie siamini tena lolote linalosemwa na Waziri Mkuu. Alishajidhihirisha kwamba ni mwoingo hana hata aibu kudanganya akiwa msikitini, sembuse nje ya msikiti?
Umeshawahi uliza wizara ya afya. .nyie binadamu msiseme mambo kwa kukurupuka. ...Bila research hutakiwi kupanua domo na kusema. .Sema sera ya Serikali ilikuwa haikutaka kuwapanikisha watu. .kwa kutoa takwimu.huku ikisisitiza kuchukua tahadhari zote. .Ajue wapi kwani walishawahi kuweka kumbukumbu(data) zozote za covid?