#COVID19 Waziri Mkuu: Uchanjaji sio lazima lakini ni muhimu

#COVID19 Waziri Mkuu: Uchanjaji sio lazima lakini ni muhimu

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema licha ya kwamba dalili za mlipuko zinaonekana kuwa nzuri, bado tatizo lipo hivyo Watanzania wanapaswa kuendelea kujikinga.

Ameeleza, "Tuendelee kuwasikiliza Wataalamu wetu wa Afya, na yale masharti yote tunayotakiwa kufuata ni muhimu kufanya hilo. Vaa barakoa pale unapoona kuna mazingira ambayo si salama"

Ameongeza, "Tumesema uchanjaji sio lazima lakini ni muhimu kwasababu inasaidia kuimarisha mwili"
 
Kinachonifikirisha unachanja halafu unajikinga inamaana gani si bora uchukue tahadhari
 
Back
Top Bottom