Waziri Mkuu wa Ethiopia apokea tuzo ya Nobel

Waziri Mkuu wa Ethiopia apokea tuzo ya Nobel

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Ni jambo jema na kubwa sana Mwafrika mwingine anaongezwa kwenye tuzo yenye heshima sana duniani ya Alfred Nobel.

Mpaka aasa Waafrika ninaowakumbuka ambao wamepata hii tuzo ni:

- Nelson Mandela
- Desmond Tutu
- Mathai Wangari

Waziri Mkuu huyu wa Ethiopia sasa anaingia katika orodha ya watu wanaoheshimika zaidi duniani.

Mungu ibariki Afrika.
 
jiwe hizi vitu hawezi pewa hata siku moja
anauwezo mdogo sana katika maswala ya democracy, good governance and international relations
 
jiwe hizi vitu hawezi pewa hata siku moja
anauwezo mdogo sana katika maswala ya democracy, good governance and international relations
Usimuongelee huyo mtu kwenye mambo makubwa Kama haya ni misfit.
 
Jiwe ataishia kupewa na UDSM,UDOM NA MZUMBE ilivyo kawaida ya madikteta wote duniani
 
Kuna.

Mama Ellen wa Liberia alichukua.

Yule Dr Mkongo Dennis Mkwege

Koffi Annan
Orodha ipo ipo
 
Hizo tuzo huwa zimekaa kinafki sana

Wanapewa wanaoabudu Mabeberu
 
Kipande cha speech kizur ametoa.

It takes a few people to start a war, it takes a village or a nation to build Peace. ..
 
Hizo tuzo huwa zimekaa kinafki sana

Wanapewa wanaoabudu Mabeberu
... wallahi saa hizi ingepigwa panda watu wote pande zote za nchi na wainame na kusujudu kwa heshima ya mfalme! Sifa zingeimbwa kumsifu mfalme!
 
Huyu jamaa ni wakati wa kumnyang'anya hiyo tuzo.
 
Back
Top Bottom