Inashangaz kuona baadhi ya watu wanajitapa Israeli mshindi. Wakati alianzisga mtanange na lengo la kuondoa nyuklia Iran hajafanikiwa hata kwa 10% . huku akiishia kusuasua kuendeleza mtanange, never underestimate Iran wale pipo wanaumoja wa kiwango kingine na kulipiza kisasi kwao ni thawabu + waliishi miongo mingi wa kijua siku moja vita vitakuja.Onyo la nini si aingie vitani kama ni kidume, tatizo lake Israel anataka back up ya US ili imlinde akianza uchokozi kwanini asije mwenyewe yeye si mbabe aje bila USA mbona Iran inapigana bila China na Russia kuleta ndege zao kuwalinda.
Israel hana lengo la kumfuta yoyote, nyie wenye lengo la kuifuta Israel ndio muende sasa mkaipige🤣🤣Onyo la nini si aingie vitani kama ni kidume, tatizo lake Israel anataka back up ya US ili imlinde akianza uchokozi kwanini asije mwenyewe yeye si mbabe aje bila USA mbona Iran inapigana bila China na Russia kuleta ndege zao kuwalinda.
Waliishia muongo mingi wakijua siku Moja vita itakuja? Alafu vita ikija watu wanaingia hapo kwao wanaua yoyote wanayemtaka🤣🤣Inashangaz kuona baadhi ya watu wanajitapa Israeli mshindi. Wakati alianzisga mtanange na lengo la kuondoa nyuklia Iran hajafanikiwa hata kwa 10% . huku akiishia kusuasua kuendeleza mtanange, never underestimate Iran wale pipo wanaumoja wa kiwango kingine na kulipiza kisasi kwao ni thawabu + waliishi miongo mingi wa kijua siku moja vita vitakuja.
We ndio hujui lolote Israel ina mpango wa kufuta sio tu waarabu wote bali mataifa yote makubwa ikitokea imezidiwa kwenye vita na huu mpango unaitwa SAMSON OPTION uliobuniwa 1986. Uwe unasoma kabla ya kuja kuropoka mitandaoni.Israel hana lengo la kumfuta yoyote, nyie wenye lengo la kuifuta Israel ndio muende sasa mkaipige
Malengo ya vita yalikua kupindua nchi na kuchukua nuclear material vyote hivyo Israel imeshindwa licha ya kuchochea maandamano feki january na kuwapa silaha wakurdi wapigane na serikali ya Tehran.Waliishia muongo mingi wakijua siku Moja vita itakuja? Alafu vita ikija watu wanaingia hapo kwao wanaua yoyote wanayemtaka🤣🤣
View attachment 3629645
Issue sio kuuwa. point ni baada ya US/Israel kuuwa zaidi ya viongozi 60+ wamefanikiwa malengo Yao kwa kiasi ganiWaliishia muongo mingi wakijua siku Moja vita itakuja? Alafu vita ikija watu wanaingia hapo kwao wanaua yoyote wanayemtaka🤣🤣
View attachment 3629645
Kama umejianda kwa miaka yote hiyo alafu bado watu wanaingia Hadi sebuleni kwako wanaua wanayemtaka, hapo inakua umejiandaa Nini?Issue sio kuuwa. point ni baada ya US/Israel kuuwa zaidi ya viongozi 60+ wamefanikiwa malengo Yao kwa kiasi gani
Iran imekubali kuondoa nyuklia iliyorutubishwa ? msimamo wao wa kumiliki nyuklia umebadilika ?
ama kweli mwanadamu ni kiumbe mjinga sana...sasa unawatanguliza wenzako huku ukidhani kuwa utaishi milele?Kiongozi mkuu wa Maulamaa leo wanajeshi wake 7 wamewahishwa kwa mabikira
Malengo ilikua ni pamoja na kuua wale top figures. Malengo hayo yamefanikiwa🤣Malengo ya vita yalikua kupindua nchi na kuchukua nuclear material vyote hivyo Israel imeshindwa licha ya kuchochea maandamano feki january na kuwapa silaha wakurdi wapigane na serikali ya Tehran.
Mmebaki kujisifia kuua watu mamia kwenye nchi ya watu million 100!! Mnachekesha sana
Lengo la Iran kutengezeza silaha za nuclear ni kuwa na uwezo wa kuwatanguliza waisrael wote kwa Allah.ama kweli mwanadamu ni kiumbe mjinga sana...sasa unawatanguliza wenzako huku ukidhani kuwa utaishi milele?
Iran angekuwa na lengo la kuipiga Israel kwa nuclear angeshafanya hivyo..Lengo la Iran kutengezeza silaha za nuclear ni kuwa na uwezo wa kuwatanguliza waisrael wote kwa Allah.
Sasa na wewe jiulize hawa wa Iran wataishi milele?
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alitoa onyo la moja kwa moja kwa Iran, akisema Israeli iko tayari kwa hali yoyote na kuahidi majibu yenye nguvu zaidi ikiwa Tehran itashambulia tena.
Akizungumza katika Mkutano wa Negev huko Dimona, Netanyahu alisema, "Usitegemee marudio ya uchaguzi. Itakuwa tukio tofauti, lenye nguvu zaidi," akiongeza kuwa Israeli itaendelea kumpiga "yeyote anayetudhuru."
============
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu warned on Tuesday, July 14, that Israel would respond with “far more powerful” strikes if Tehran launched another attack on Israeli territory.
Speaking during a visit to the city of Dimona on Monday, Netanyahu said Israel was prepared for every possible scenario. Addressing Iran’s leadership directly, he warned that Tehran should not expect calm if it chose to attack, nor should it assume that Israel’s response would simply resemble previous military exchanges.
The Israeli Prime Minister said that while Israel’s earlier response had already been significant, any fresh attempt to harm the country would be met with a fundamentally different and much stronger reaction. He added that the era in which Israel could be attacked without those responsible paying a heavy price was over.
Netanyahu said this resolve had already been demonstrated against Iran’s “axis of evil” and would continue to guide Israel’s response to anyone threatening the country.
His remarks come after a military confrontation on June 7, 2026, when Israel struck petrochemical facilities in southwestern Iran in retaliation for a large Iranian missile barrage.
The warning highlights the growing possibility of another direct military confrontation between Israel and Iran following the “40-Day War.” Netanyahu’s decision to deliver the message from Dimona, a city closely associated with Israel’s strategic nuclear programme, also carried symbolic significance and appeared intended to reinforce Israel’s deterrence message.
The statement comes as the fragile diplomatic process between Washington and Tehran appears to be collapsing. Iranian lawmakers are pushing for tougher action in the Strait of Hormuz, while hardliners continue to demand revenge for the death of the former Supreme Leader. Against this backdrop, Netanyahu’s remarks draw a clear red line for Iran’s new leadership, warning that any direct or indirect escalation could trigger immediate and high-intensity Israeli strikes on Iranian territory.
Source: Iran Wire
Acha ujinga mwambie Iran Arusha hata Kokomo tu Israel ili waone cha moto!!Onyo la nini si aingie vitani kama ni kidume, tatizo lake Israel anataka back up ya US ili imlinde akianza uchokozi kwanini asije mwenyewe yeye si mbabe aje bila USA mbona Iran inapigana bila China na Russia kuleta ndege zao kuwalinda.
Libya alipouawa Gadafi kila kitu kiliharibika. Umewahi kujiuliza kwanni viongozi wa Iran wengi wameuawa lakini taifa lao bado limesimama as one.Iran Hana ubavu wa kuwa offensive kwa Israel🤣🤣
Israel huwa hawatanii ndio maana Iran wamenywea, uzuri wa Israel ni huu👇
View attachment 3629486