Waziri Mkuu wa Israel atoa ONYO Kali kwa Iran Kama wanashambulia Israel

Iran angekuwa na lengo la kuipiga Israel kwa nuclear angeshafanya hivyo..
Ni ujinga na utaahira kudhani kuwa Iran Ana Nuclear!!!
Juhudi zote ambazo Israel amefanya kuzorotesha projects zake za nuclear zimegonga mwamba.. na hadi ameingia US kwenye vita, nae kagonga mwamba, uranium ipo zaidi ya kilo 400 na imerutubishwa kwa kiwango cha juu...
Iran Hana Nuclear Endeleeni tu kujidanganya na kujifariji!!
 
Ni ujinga na utaahira kudhani kuwa Iran Ana Nuclear!!!

Iran Hana Nuclear Endeleeni tu kujidanganya na kujifariji!!
Nani kasema hapo ana nuclear? Ulitaka kufahamu kama wanayo ama hawana waipige kwa nuclear ndipo itafahamika..
 
Libya alipouawa Gadafi kila kitu kiliharibika. Umewahi kujiuliza kwanni viongozi wa Iran wengi wameuawa lakini taifa lao bado limesimama as one.
Swali la hovyo. Libya iliambatana na kupindua serikali. Haikua kumuua TU ghadafi
 
Pumbavu wewe mlokole mjingamjinga
Juzi ulileta uharo wa kuwa endapo Iran itashambulia Israel, humo xumanyau ataigaragaza Iran
Leo unakuja kama watashambuliwa tena, washambuliwe mara ngapi , wakati tayari wamesha kula kisago na hawajibu wanasubiri danga lao trump aingile kati au vipi
 
Lengo la Iran kutengezeza silaha za nuclear ni kuwa na uwezo wa kuwatanguliza waisrael wote kwa Allah.
Sasa na wewe jiulize hawa wa Iran wataishi milele?
wapi wamesema hayo? Kwanini Israel,USA,China,Russia,Germany,Uk etc waruhusiwe kuwa na nuclear? Ila akiwa nayo Iran ni dhambi?
 
wapi wamesema hayo? Kwanini Israel,USA,China,Russia,Germany,Uk etc waruhusiwe kuwa na nuclear? Ila akiwa nayo Iran ni dhambi?
Rudi shule Toka lini magaidi wakaachwa tu wawe na nuclear?
 
wapi wamesema hayo? Kwanini Israel,USA,China,Russia,Germany,Uk etc waruhusiwe kuwa na nuclear? Ila akiwa nayo Iran ni dhambi?

Ata Pakistan waislamu wanazo👈

Ajabu zaidi kwa msaada wa Marekani iyo iyo😇
 
Rudi shule Toka lini magaidi wakaachwa tu wawe na nuclear?

Waisrael wanalala kwenye mashimo baada ya Iranian kumaaamua kutumia Anga ya Kibonde wake Israel kwa ili mnasemaje

Mmelidhia kulala kwenye
Mashimo mpaka lini ??
 
Wanapigwa USA pande za Jordan lkn wazayuni wanakimbilia kwenye Mashimo👈

baba yao wanaolingia anavunjwa vunjwa mbele yao Shubamit
 
Waisrael wanalala kwenye mashimo baada ya Iranian kumaaamua kutumia Anga ya Kibonde wake Israel kwa ili mnasemaje

Mmelidhia kulala kwenye
Mashimo mpaka lini ??
Endeleeni kujifariji tu maana kwa kipondo Marekani inachoshusha hapo Iran lazima Wafuga Midevu na Majini matakoma mpaka mkomae!!
 
Endeleeni kujifariji tu maana kwa kipondo Marekani inachoshusha hapo Iran lazima Wafuga Midevu na Majini matakoma mpaka mkomae!!

Kwanini Israel inachewa Anga lake kwani Netanyahu yupo wp kawa mnyonge kama pilitoni😂

mwambie Netanyahu japo atoe sauti tu kukemea wahuni✍️
 
Kwanini Israel inachewa Anga lake kwani Netanyahu yupo wp kawa mnyonge kama pilitoni😂

mwambie Netanyahu japo atoe sauti tu kukemea wahuni✍️
Endelea tu kujifariji Netanyahu akiendeleza wimbi la kuwaua magaidi wenzako huko Gaza
 

Attachments

  • 7655685276631457281.mp4
    25.3 MB
  • -7841093105675871041.mp4
    5.5 MB
Kwa nini nchi masikini zaidi duniani zipo kusini mwa jangwa ala sahala na 80% ya population yake ni wakristo?
Kwa nini Zanzibar Ina WAISLAM 99% na rasilimali zake za mafuta na gesi,sil Mali ya muungano na rais mzanzibar yupo hapa anatawala na anauza migodi na rasilimali za bara kama mbuga ya kwa bei ya kutupa?,huku per capital ya Zanzibar ikiwa ni $2500 huku ya Tanganyika ikiwa ni $1200
Kwa nini ISLAMIC REPUBLIC OF IRAN na ISLAMIC REPUBLIC OF AFGHANISTAN wanamiliki rasilimali zao,100%
 
Ujinga unakusumbua sana!!
 
Ujinga unakusumbua sana!!
Nimekuja jukwaani kwa welevu kama wewe nipate majibu ya haya maswali🙏🙏🙏
1.Kwa nini nchi masikini zaidi duniani zipo kusini mwa jangwa la sahara na 80% ya population yake ni wakristo?

2.Kwa nini Zanzibar Ina WAISLAM 99% na rasilimali zake za mafuta na gesi,sil Mali ya muungano na rais mzanzibar yupo hapa anatawala na anauza migodi na rasilimali za bara kama mbuga ya kwa bei ya kutupa?

3.kwa nini per capital ya Zanzibar yenye WAISLAM 99% ni $2500 huku ya Tanganyika ikiwa ni $1200?

4.kwa nini ISLAMIC REPUBLIC OF IRAN na ISLAMIC REPUBLIC OF AFGHANISTAN wanamiliki rasilimali zao,100%?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…