The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Wanahangaika na Simba na Yanga na Ndondo cup tu !! Inatosha !!! Je unajua ni kwanini wanakuwa hivyo ?? Wameshagundua Mara nyingi wao huwa wanatumiwa kama daraja la wanasiasa kupanda huko juu na wakishafika huko juu wanaanza kwanza kufikiria matumbo yao !! Ndio maana wameona ni bora kila MTU apambane na hali yake !! Hata Kigwangala anajua hili la matumbo kwanza !!
Duh ! Yaani viuno kushney ?! Deliberately ?! Ipo kazi bandugu !!!Kwahiyo unataka waanzishe nyuzi ili uwe na cha kujibu??
Aisee maisha ni magumu sana ila wanahofia kuvunjwa viuno.
Juzi tu hapo Aiijiipee kasema viongozi waachwe waishi vizuri.
Wao wana hangaika na mambo ya simba yanga,diamond konde kajala uwoya etc...
Ukipita vijiweni halo mbaya sana stori za Manara tu umbea mwingine..Wao wana hangaika na mambo ya simba yanga,diamond konde kajala uwoya etc...
Uchawa,harusi ya nandy mambo yao
Umbeaumbea
We waweke matamasha watajaa,
Wafungulie sehem za burdan watakuja hata kama hawana hela watapata tu
Ova
Hatutaki tufike huko !Watanzania ni wavumilivu Ila utafika wakati watachoka,sipati picha wakichoka itakuwaje 😋
Itakuwaje? Haya mambo huenda na historia..Watanzania ni wavumilivu Ila utafika wakati watachoka,sipati picha wakichoka itakuwaje 😋
Wewe jua tuu kwamba sababu ni zile zile za Sri Lanka,sasa mbona hatuoni Italy ikitolewa kama mfano Kwa Tzn kama ilivyokuwa Kwa Sri Lanka.Braza kiingereza ni kigumu mno kwako eh? Hayo maandamano uliyaongoza wewe? Draghi amejiuzulu maana serikali ya umoja wa kitaifa aliyokua anaiongoza ilimeguka kwa kundi moja kujitoa. Pia bado alikua na uwezo wa kuendesha nchi ila bado alitaka umoja baina ya League, M5S,PD na Di Maio na wenzake. Braza tafuta maana ya neno Turmoil halafu urudi hapa.
Sababu hatujawahi onja mana hali ya "maisha bora" kwenye maisha yetu ya kila siku kwenye jamii. Italian wanajua maana ya maisha bora, so ukiwachezea hawana huruma na wewe.Wanahangaika na Simba na Yanga na Ndondo cup tu !! Inatosha !!! Je unajua ni kwanini wanakuwa hivyo ?? Wameshagundua Mara nyingi wao huwa wanatumiwa kama daraja la wanasiasa kupanda huko juu na wakishafika huko juu wanaanza kwanza kufikiria matumbo yao !! Ndio maana wameona ni bora kila MTU apambane na hali yake !! Hata Kigwangala anajua hili la matumbo kwanza !!
Sisi huku mradi mkono uende kinywani!!Sababu hatujawahi onja mana hali ya "maisha bora" kwenye maisha yetu ya kila siku kwenye jamii. Italian wanajua maana ya maisha bora, so ukiwachezea hawana huruma na wewe.
Sio ilimradi bali maisha huku ni ya nafuu Sana kwenye chakula achilia mbali kuropoka wanakofanya baadhi ya watu.Sisi huku mradi mkono uende kinywani!!
Braza narudia tena kasome maana ya hilo neno turmoil. Halafu soma wanachogombea halagu urudi hapa kukomenti. Bro hakuna mwitaliano aliyeingia mtaani. Watu wametofautiana principles tuWewe jua tuu kwamba sababu ni zile zile za Sri Lanka,sasa mbona hatuoni Italy ikitolewa kama mfano Kwa Tzn kama ilivyokuwa Kwa Sri Lanka.
Kuanzia saa mbili asubuhi ni vipindi vya michezo tuuu.wanamjadili manaraWanahangaika na Simba na Yanga na Ndondo cup tu !! Inatosha !!! Je unajua ni kwanini wanakuwa hivyo ?? Wameshagundua Mara nyingi wao huwa wanatumiwa kama daraja la wanasiasa kupanda huko juu na wakishafika huko juu wanaanza kwanza kufikiria matumbo yao !! Ndio maana wameona ni bora kila MTU apambane na hali yake !! Hata Kigwangala anajua hili la matumbo kwanza !!
Kama watu wenu wenyewe robo tatu wako kama Hawa wanaolaumu tuu humu jf sasa ulitegemea wajadili.nini ikiwa akili hawana?Kuanzia saa mbili asubuhi ni vipindi vya michezo tuuu.wanamjadili manara
Hivi kumbe Turmoil kwa Kiitaliano inamaanisha maandamano?Nawasalimu kwa jina la JMT.
Waziri Mkuu wa Italy amejiuzulu nafasi yake kutokana na Maandamano ya wiki zima Kuhusu ugumu wa maisha..
Mario Draghi amewasilisha hati yake kwa Rais Ili Mchakato wa kumpata PM mwingine uendelee..
Huyu ni Waziri Mkuu wa pili kuachia ngazi huko Barani Ulaya baada ya Boris Johnson wa England..
****
Wako wapi wale CHADEMA na Sukuma gang kuja kuanzisha nyuzi za kutishia viongozi wetu kwamba wanaongoza vibaya hivyo maisha magumu wakitolea mfano wa Sri Lanka kwamba watawatimua viongozi Ikulu?
Vipi na huko Ulaya kwenye maisha mazuri mbona Nako Hali si Hali? Au huko hakuna Katiba mpya ya kuleta maisha Bora?[emoji116]
View attachment 2299601
Wengine wanagoma. Hawa wanalamika tuuu.Kama watu wenu wenyewe robo tatu wako kama Hawa wanaolaumu tuu humu jf sasa ulitegemea wajadili.nini ikiwa akili hawana?
Mtu anasema ooh Bei za vitu zimeongezeka,sawa je bidhaa hazinunuliwi? Kama zinanunuliwa sasa pesa inaenda kwa nani?