Waziri Mkuu wa Kenya apata mshahara maradufu kumzidi rais wa Marekani (Obama)

Wa Tz ukibaatika 2kuuchungulia utazimia nando maana aupo wazi
 
Labda kwa kupitia mishahara hii inaweza kuwasaidia wasiwe na tamaa ya kuwa mafisadi kupora rasilimali za taifa
 
Jama WanaJF! Mwenye hata tetesi ya hawa mafisadi wa TZ a2juze angalau maana nafikiri ndiyo wa kwanza ama wa pili. Hasa huyo JK& PM wake.
 
Kibaki je? Halafu mbona figure haionyeshi kwamba anapata maradufu ?? (maradufu = 2X)
 
Me nilisikia mtaa baba riz analipwa USD 2000 per year ambapo n mil 25 kwa mwez
 
Pesa bana halafu utasikia Raila anapiga dili apate pay zaidi. Jamani kwani tutaenda nazo mbinguni?
 
Mshahara wa Wakenya hautuhusu jukwaa la siasa.
 
Usijeshangaa ukifanya combination ya mapato yote ya JK labda naye anacheza humo kwenye top 10.
 
 


Its difficult to know about these Tanzanian Leaders, they are so secret b'se they know how much they steal our money,,,
 

Mkuu JK vp? hayupo kweli?
 
nimeongea na mzee mmoja aliyekua IKULU anasema raisi wetu anachukua zaidi ya nusu ya hela inayotengwa kama bajeti ya IKULU
in fact posho na mengineyo ndio utajiri wa maraisi wetu, wanalipwa hela chafu na haina limit wala wa kuuliza hiyo hela imekwenda wapi ni matumizi yake, na yako clissfied kama NATIONAL SECURITY
 
Uchumi wa kenya unaruhusu. Pia wanasiasa madharan wa kenya wanawajibika sana. Mbona hujasema kima cha chini? Ambao huwa karibu laki tano za kibongo. Hawa ni kada ya chn ktk utumish wa umma. Shortly jamaa wako fit uchumi unaruhusu
 
uchumi wa kenya unaruhusu. Pia wanasiasa madharan wa kenya wanawajibika sana. Mbona hujasema kima cha chini? Ambao huwa karibu laki tano za kibongo. Hawa ni kada ya chn ktk utumish wa umma. Shortly jamaa wako fit uchumi unaruhusu


hacha tu hiyo ya kuruhusu wameweka wazi, kwa hiyo kama kuna mwenye hoja kama mwananchi wa kenya anaweza kuitoa
sasa hapa kwetu hata ya wabunge haturuhusiwi kujua, waraisi ndio kabisa usalama wa taifa

kwa hapa nasema kenya hoye
tuna mengi ya kuiga kutoka kenya
 

Mengi ya kuiga ya kuongoza duniani kwa kuwalipa viongoz wetu mkishahara mikubwa kuliko wote duniani au??????????
 
Hii story mbona haijadiliki, wenzangu mmeweza vipi kuchambua na kuijadili? ebu wekeni mshahara wa Rais wa Kenya ndio kuwe na mtiririko wa maaana hapa au mnataka kusema PM anapata mshaharamkubwa kuliko Rais?!

Na kama Rais anapata mkubwa kuliko waziri mkuu wake, kwanini mjadala upo juu ya PM na si Rais wake na system yao kwa ujumla!
 
Mkuu umeeleweka kiundani zaidi. Kwa msingi huo basi tusipomuingiza kwenye Top 5 duniani basi huenda tusiwe tukimtendea haki hata kidogo kimakusanyo.

 
Hi guys
If you want to become a highly paid man, struggle to become a politician. You are likely to be among the top fifteen who are highly paid in the world.
Chao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…