Nchi nyingi tu marais siyo watendaji wa serikali. Nepal iko hivyo. Hata Tanzania tukitaka kubadilisha utamaduni wa kuabudu rais, ingekuwa vizuri tuwe na serikali inayoundwa na vyama/chama chenye idadi kubwa ya wabunge na waziri mkuu ndiye wawe mtendaji.Huko Nepal waziri mkuu ana nguvu kuliko rais? Maana rais ye yupo salama salimini hajala kichapo kama waziri mkuu na maafisa wengine wa serikali.