Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
kila la kheri PM dr. MWIGULUπͺππππ₯π π ππ¨π¨ ππͺππ¦πππ π¨ππ‘πππ₯πππ
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba Leo 7 Oktoba 2026, amewasili Nchini Uingereza ambapo atakuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa jukwaa la uwekezaji la Tanzania nchini Uingereza.
Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu pia ataongoza ujumbe wa Tanzania kukutana na wadau, wawekezaji na viongozi wa kampuni mbalimbali katika sekta za madini, benki, teknolojia, usafirishaji na miundombinu, kwa lengo la kuimarisha na kutangaza fursa za biashara na uwekezaji.
πͺππππ₯π π ππ¨π¨ ππͺππ¦πππ π¨ππ‘πππ₯πππ

Acheni huu ujinga, mnajichosha bure..nani aje kuweka mtaji wake mahali ambapo kuna mabishano na mafarakano kwa kiwango hiki cha sasa..? Hata Mzee Dangote kapeleka refinery Kenya kwa sabb hakuna utulivu hapa..mafarakano haya si ya kuisha kesho ni hadi pale hawa watawala wataondolewa b t kwa nguvu au kwa kura..sasa kwa mwekezaji anayeona mbele km waliokuleta wataondolewa, wewe/mwekezaji utakuwa wapi..?View attachment 3686236
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba Leo 7 Oktoba 2026, amewasili Nchini Uingereza ambapo atakuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa jukwaa la uwekezaji la Tanzania nchini Uingereza.
View attachment 3686235
Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu pia ataongoza ujumbe wa Tanzania kukutana na wadau, wawekezaji na viongozi wa kampuni mbalimbali katika sekta za madini, benki, teknolojia, usafirishaji na miundombinu, kwa lengo la kuimarisha na kutangaza fursa za biashara na uwekezaji.
View attachment 3686232View attachment 3686234
Siku nyingine aache hilo tambara lake analovaa shingoni. Nchi zote zina bendera za taifa.Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Leo 7 Oktoba 2026, amewasili Nchini Uingereza ambapo atakuwa mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Jukwaa la Uwekezaji la Tanzania nchini Uingereza.
Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu pia ataongoza ujumbe wa Tanzania kukutana wadau, wawekezaji na viongozi wa kampuni mbalimbali katika sekta za madini, benki, Teknolojia, usafirishaji na miundombinu, kwa lengo la kuimarisha na kutangaza fursa za Biashara na Uwekezaji.