Waziri Mkuu wa Uganda mwenye umri wa miaka 85 anataka kugombea tena

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Afrika hivi hawa viongozi wanatoana vipi?

Ali moses mwenye umri wa miaka 85 anataka kugombea tena huko uganda mwaka 2026
 
Kama Genzies wa huko hawako tayari kuyafanya kama wale wa Kenya, wao wafanyeje sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…