Mtoa Taarifa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2024
- 213
- 671
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Zoezi la uokoaji katika eneo la ajali ya kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo bado linaendelea na Mpaka sasa Watu 86 wameokolewa wakiwa hai huku Vifo vikiwa kumi na sita (16).
Waziri Mkuu ameeleza hayo leo Novemba 18 wakati akizungumza katika viwanja vya Mnazi Mmoja ambapo shughuli rasmi ya kuaga miili ya Marehemu hao inafanyika.
Waziri Mkuu ameeleza hayo leo Novemba 18 wakati akizungumza katika viwanja vya Mnazi Mmoja ambapo shughuli rasmi ya kuaga miili ya Marehemu hao inafanyika.