Ndugu wanabodi
Nimeona nilete mada hii kwenye uwanja huu ili watu wajadili,ni nini chanzo cha kuporomoka kwa elimu Tanzania,wengi wametaka Waziri wa Elimu na naibu wake Philip Mlugo wajiuzulu mie naona kwamba kujiuzulu sio tatizo,tatizo ni hawa watu waliopewa jukumu la kuwafundisha hawa watoto,wenyewe wamefeli mitihani na walinunua vyeti kwa watu wengine,na wengine walinunua vyeti baada ya kufeli mitihani hivyo kununua vyeti hivyo,na ukitaka kuwabaini waite waalimu wote waambie waje na vyeti vyao vya mitihani na result slip kuonyesha kama kweli walifaulu masomo ya vyuo vya Ualimu,wengi utakuta wamenunua si vyao na vingine ni feki vimetengenezwa mitaani Dar lakini mtu kavitumia kupatia kazi
Ufaulu wa wanafunzi hasa shule za Msingi hauwezi kuwa mzuri sababu waalimu waliopo hawawezi kuwasaidia wanafunzi kufaulu,kuna maswali ambayo ukimuuliza Mwalimu wa Shule ya Msingi hawezi kukujibu hajui jibu,halafu ndio wanaopiga kelele wakati wengi wana vyeti vya kughushi lakini taifa linawaangalia
Waanze kukaguliwa waalimu kwanza kwani ndio chanzo cha wanafunzi kumaliza hawajui kusoma na kuandika na hasa mkoa wa Tanga Handeni waalimu wengi ni batili waliofoji vyeti na hawafai kuwa waalimu wa watoto
Philip Mulugo anaonewa tu yeye haingii darasani wanaoingia darasani ndio wameoza kabisa Mlugo kuifufua Elimu ya Tanzania wakague waalimu wote Tanzania utagundua uovu na uozo wa kutisha kwenye idara ya Elimu