Magulumangu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 3,051 Reaction score 461 Feb 8, 2010 #21 Bulesi said: Nenda kamshitaki kwa Kikwete kuwa waziri wake hana maadili anapenda ndogondogo uone kama atakusikiliza!! Click to expand... Hivi wewe kweli ukamshitaki kwa kaka,mhhhh naguna kwanza maana wapemba wanajuana kwa vilemba kaka...ni kahoja tu wajameni.
Bulesi said: Nenda kamshitaki kwa Kikwete kuwa waziri wake hana maadili anapenda ndogondogo uone kama atakusikiliza!! Click to expand... Hivi wewe kweli ukamshitaki kwa kaka,mhhhh naguna kwanza maana wapemba wanajuana kwa vilemba kaka...ni kahoja tu wajameni.
ngoshwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 4,131 Reaction score 937 Feb 8, 2010 #22 Atakuwa anatekeleza kauli mbiu ya "kilimo kwanza"...
R RR JF-Expert Member Joined Mar 17, 2007 Posts 6,968 Reaction score 2,035 Feb 8, 2010 #23 Kama kuna mahali kautumia uwaziri kufanya ngono utujuze.....sivyo kaa kimya milele!
M mayala luswetul Member Joined Jun 2, 2008 Posts 40 Reaction score 0 Feb 8, 2010 #24 mtoa hoja si vibaya uende kwa mtumishi wa mungu ili uombewe upate kuacha kuyafikiria mambo ambayo ni ya binafsi zaidi na hasa haya ngono. USIIKARIBIE ZINAA...
mtoa hoja si vibaya uende kwa mtumishi wa mungu ili uombewe upate kuacha kuyafikiria mambo ambayo ni ya binafsi zaidi na hasa haya ngono. USIIKARIBIE ZINAA...