johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndio wapambane sasa waingie Poland.Et wana nchi wasiwe na wasiwasi.
CCM huwa hamjiongezi , Watu wameanza kuwatoa RAIA wao wiki kadhaa kabla ya Vita hiyo.
Nyie mnastuka saizi tena baada ya Raia kuhoji .
Sasa mipakani tu huko Ukraine, Waafrika wanabaguliwa ,hamna kuondoka , sisi wazungu kwanza ndo tunasepa .
Ipo Poland!Ipelekwe ndege ya Tanzania ikawachukuwe
Kwanini ilishindwa kuwatoa hali ilipoanza kuwa tete wakati wengine walipoanza kuondoka!Mh.Mulamula yuko sahihi....
Imeshakuwa vita sasa serikali ya JMT ilaumiwe nini...🙏
Hivi Putin alipopeleka wanajeshi wake 150,000 mipakani na kabla ya kuviondoa na kurudi kivita je kuna nchi gani ya Afrika iliondoa raia wake?Kwanini ilishindwa kuwatoa hali ilipoanza kuwa tete wakati wengine walipoanza kuondoka! Tukumbuke vita haikuanza ghafla kwani maandalizi yalichukua zaidi ya wiki.
Hilo nalo neno...na warusi maswahiba zetu haswa.....Tuengee vizuri na Urusi, waende Moscow.
Zenj hakuna vita lakini!Wazungu wa Eastern Europe wabaguzi Sana. Sisi huku kwetu, wamekwama hpo Zenji Kuna baadhi ya hotel wanapewa huduma bure. Source BBC Swahili.
Marekani weusi!Hivi Putin alipopeleka wanajeshi wake 150,000 mipakani na kabla ya kuviondoa na kurudi kivita je kuna nchi gani ya Afrika iliondoa raia wake?!!!
I mean wameshindwa kurudi kwao maaana ndege haziendi Ukraine,vibali vya kukaa Zenj vimepitwa na muda na baadhi wameishiwa salio.Zenj hakuna vita lakini!
Ipo ndege ya moja kwa moja Zanzibar to Poland.I mean wameshindwa kurudi kwao maaana ndege haziendi Ukraine,vibali vya kukaa Zenj vimepitwa na muda na baadhi wameishiwa salio.
Waingie Poland kwa usafiri gani.Waziri wa Mambo ya nje Mh Mulamula amewataka watanzania takribani 300 walioko Ukraine wajitahidi waweze kuingia Poland ambako uratibu unafanyika...
Duh....!Waingie Poland kwa usafiri gani.
Hivi ukimwambia mtu aliyeko mtwara aingie Kenya bila msaada wa kumuwezesha kufika Namanga again ataingia kweli Kenya?Watawezaje kufika huko na watakuwa wanakula nini?