Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Wajibu wa Serikali na hizo balozi huko nje ni wa nini hasa kama wanashindwa kusaidia raia wakati wa shida.Hii ndiyo sababu kubwa ya serikali kukataa kutoa pasipoti kwa kila mwananchi. Serikali inajua raia wake wakipata matatizo kwenye nchi za watu, haina uwezo wa kuwasaidia.
Hilo nalo neno...na warusi maswahiba zetu haswa.....
Na hao wa ukraine hapo zenji mkawabwage kwa balozi wao (kama wanao) maana si watu waleWaziri wa Mambo ya nje Mh Mulamula amewataka watanzania takribani 300 walioko Ukraine wajitahidi waweze kuingia Poland ambako uratibu unafanyika.
Mulamula amesema ameona ubaguzi unaoendelea Ukraine kupitia mitandaoni na amesikitishwa sana lakini wananchi wasiwe na wasiwasi kwa sababu serikali inafuatilia kwa karibu sana.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Uswahiba huu....Wana uswahiba gani na nyinyi, mkishaona tu nchi yenye nguvu isiyohoji wizi wenu wa kura mnajifanya rafiki zenu.
Unamaana rada imeelekezwa Rau Madukani, si walikwisha imaliza mbege na nyamachoma!... intelejensia ilishindwa kung'amua uwezekano wa vita.
nilifikiri angetuelezea hatua zilizo chukuliwa. aelezee wamefanya nn kuhakksha wanapita mipakani salama, mabalozi wetu wanasaidia vp ...nk. kufatilia anakozngmzia maana yake nn? tumeona wenzetu Ghana wakikumbatiana na watoto wao baada ya kuwasili makwao, au mambo yataji solve yenyewe!?Waziri wa Mambo ya nje Mh Mulamula amewataka watanzania takribani 300 walioko Ukraine wajitahidi waweze kuingia Poland ambako uratibu unafanyika.
Mulamula amesema ameona ubaguzi unaoendelea Ukraine kupitia mitandaoni na amesikitishwa sana lakini wananchi wasiwe na wasiwasi kwa sababu serikali inafuatilia kwa karibu sana.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Uswahiba huu....
View attachment 2135685
Ongezea na baridi lililopo huko !!Waingie Poland kwa usafiri gani.
Hivi ukimwambia mtu aliyeko mtwara aingie Kenya bila msaada wa kumuwezesha kufika Namanga again ataingia kweli Kenya?
Watawezaje kufika huko na watakuwa wanakula nini?