Waziri Mwigulu hajawahi na hatokaa kua ARCHITECT wa Uchumi wa Nchi hii, Amemkosea sana Mh Makamo Dkt Mpango !

Waziri Mwigulu hajawahi na hatokaa kua ARCHITECT wa Uchumi wa Nchi hii, Amemkosea sana Mh Makamo Dkt Mpango !

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Mh Waziri Mwigulu Nchi Ina mambo mengi sana yaliyohitaji matumizi sahihi ya Brain.

Katika Utulivu wa Akili na Mwili wako, hivi kweli hata ukikaa unaweza kusema una Kila sababu ya SAINI yako kuonekana kwenye Noti na Watanzania wakasema hakika unastahili?.

Sasa sishangai kwanini ulipaka mawe rangi Tanzania nzima.

Ni Mh Dkt Mpango aliyeamua Kutumia Ubunifu na Akili yake yote Kwa miaka yake yote kiasi kwamba Nchi ikatangazwa kuingizwa kwenye kundi lilee !!.

Ulichokifanya ni Ile Tamaa ya kiwango Cha juuu Kabisa inayopatikana kwenye kitabu Cha ISAYA 14:13
Nawe ulisema moyoni mwako, Nitapanda mpaka mbinguni, Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; Nami nitaketi juu ya mlima wa mkutano, Katika pande za mwisho za kaskazini.
Nitapaa kupita vimo vya mawingu, Nitafanana na yeye Aliye juu.


Mh ,Hicho ni kisa cha Shetani kabla hajawa Shetani, alikua ni malaika , Sasa akajiapiza Moyoni mwake kua lazima nivizie Mungu akiwa hayupo, niende juuu nikae kwenye Kiti chake, nichukue Mamlaka yake .

Yaan Tamaa ya Malaika huyu, Licha ya kujua anakitaman Kiti Cha MUUMBA wake alikomaa tu kua ije Mvua, lije Jua, lazima nikitwae kile Kiti.

Soma Pia: Tanzania yazindua Noti Mpya toleo la 2010 zenye Saini ya Waziri Mwigulu Nchemba na Gavana Emmanuel Tutuba


Sasa nawee nasikia ulijiapiza toka uko Kidato Cha pili kua like jua ,ije Mvua lazima SAINI yangu iwe kwenye Hela.🤣

Duuh na kweli umefanikiwa !!.

Waziri Mwigulu , wewe ni wa jina lako labda kuitwa shule, Jiwe la msingi ujenzi wa Ofisi na ya kufanana hayo SIO KUKAA KWENYE HELA Kwa namna yoyote Ile.
 
Daaah.. watoto wake wakiwa na misifa..watakua wanavimba...pesa ya Tz Ina sign ya baba yao...MADELU
 
Sarafu za Nchi Huwa zinafanyiwa kitu kinaitwa Reprinting Ili kuondoa zilizo chakaa. Wakati wa reprinting Sheria zinaruhusu ku insert Saini za Waziri wa Fedha na Gavana waliopo kipindi hicho.

Hivyo hata ikitokea mabadiliko ya Waziri baadae, wakati wa kure print batches nyingine ya noti, sahihi ya Mwigulu inaweza kutolewa vile vile.

So this is not a big issue.
 
Nchi ya kisenge sana hii, sijaona sababu ya kuingia gharama kwa vitu vya kipuuzi, wakati kuna maeneo nchini yanahitaji hiyo pesa inayotumika kuchapisha fedha nyingine.

Aljyeturoga hatoisikia hata harufu ya peponi
 
Nchi ya kisenge sana hii, sijaona sababu ya kuingia gharama kwa vitu vya kipuuzi, wakati kuna maeneo nchini yanahitaji hiyo pesa inayotumika kuchapisha fedha nyingine.

Aljyeturoga hatoisikia hata harufu ya peponi

wananchi wanakufa mahosipitalini kwa kukosa dawa. Maji safi na salama hamna, umeme ni kama anasa
 
Mwenye anakuambia ana PhD ya uchumi na moja ya kigezo chake kikuu cha kwamba uchumi umekua ni kuongezeka kwa namba E za magari.
 
Back
Top Bottom