Waziri Mwigulu, tunakupuuza wewe na si Nipashe

Ma
Mama na hili atasema tuka liangakie
Kila tuki sema Mwigulu sio Rais yuko kimya.
Labda sasa tumfikirie na Rais vibaya??
 
Nasubiria maelezo ya BoT kutoa comment,hata hivyo Kwa nini wapotoshaji wasichukuliwe hatua?

Hili nalo linaweza Kupitia kama like la Trilioni 1.2 na lile la mataga kuchota pesa wakati Mwendazake anaumwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…