Nabii Mwingira alinunua Shamba la Milonje Rukwa plot 48/1 lenye ecari 25,000 kwa gharama ya Tshs 600M kwa kusaidiwa na aliyekuwa RC Olenjorai.
Hata hivyo baada ya kufanikiwa rushwa hiyo Nabii Mwingira alitoa Posho ya wajumbe katika kikao cha madiwa kwa Tshs 150,000 badala ya ile ya kawaida.
Malipo ya Shamba hilo yalifanywa na Mwanamke aitwaye MARY MSIMBILA(hawara) aliyekuwa Azania Benk lakini kwa sasa yupo Efatha benk
Makubaliano ya uwekezaji kati ya Serikali na Nabii Mwingira ilikuwa ni kufanya Shughuli za Ufugaji lakini yeye amekiuka na kufanya shughuli za Kilimo ambapo zimesababisha kupote kwa vyanzo vya maji na wananchi wanalalamika sana.
Mambo yaliyofanywa na Mwingira:
1.Amebadili jina la Shamba na kuliita HERITAGE FARM huku akiligawa katika plot ambazo amezipa majina ya waototo wake (JOSHUA,ANN,JONNATHANI).
2.Serikali iliuza Shamba hilo kwa EFATHA FOUNDATION kwa ajili ya Ufugaji lakini Nabii Mwingira amebadili umiliki wa Shamba hilo na kuchukua hati ambapo Mmiliki ni familia yake jambo ambalo hata Waumini wa Efatha hawajui na wale wote wenye Kufuatilia kama alivyofanya MBUYA wamefukuzwa hapo kanisani.
3.Wananchi wanaopita karibu na Shamba hilo wanapigwa na kuteswa vibaya kama wanavyofanyiwa Waafrika kwa makaburu
Hoja ya Waziri wenye dhamana amepelekewa malalamiko hayo na wananchi baada ya kutembelea Shamba hilo na kutoa Mwongozo kuwa mkataba wa uwekezaji ufuate lasivyo Mwingira anyang'anywe Shamba hilo!!