Waziri Nape afungua mashindano ya kuogelea katika bwawa la shule ya umoja wa kimataifa

Waziri Nape afungua mashindano ya kuogelea katika bwawa la shule ya umoja wa kimataifa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
unnamed%2B%252820%2529.jpg

unnamed%2B%252821%2529.jpg

unnamed%2B%252824%2529.jpg

Sijui watoto wetu kule Kwamtogole lini watapata nafasi kama hizi, wengi wana vipaji lakini haviendelezwi.
 
Sasa Hiyo shule Unataka ulinganishe na hao wa UN na ukumbuke Hiyo shule kuanzia syllabus, topics, mitaala Ni moja kwa moja toka UK anachosoma mtoto wa queensland royal Ndio Hicho wao husoma Hapa.
 
Sawa na ile shule ya Iringa ada milioni 8 hadi 10 kwa mwaka kila kitu Ni from UK na Watoto wako vizuri kichwani
 
Sasa kule kwetu lini tutajengewa bwawa la kuogelea angalau moja kila mkoa?
 
Sasa kule kwetu lini tutajengewa bwawa la kuogelea angalau moja kila mkoa?

Tunapambana wadogo/watoto zetu wapate madawati na vitabu vya kutosha wewe unataka wajengewe mabwawa!

Bavicha bana! Sijui nani aliwaloga!
 
Tunapambana wadogo/watoto zetu wapate madawati na vitabu vya kutosha wewe unataka wajengewe mabwawa!

Bavicha bana! Sijui nani aliwaloga!
Mimi si BAVICHA lakini alieacha mpaka shule zikakosa madawati katika miaka 55 ya uhuru ni nani?
 
Lipo moja kwenye shule ya wasichana Loreto wanadai ni nzuri bahati mbaya ni shule wa girls inamilikiwa na masister wa kikenya mwanza
 
Lipo moja kwenye shule ya wasichana Loreto wanadai ni nzuri bahati mbaya ni shule wa girls inamilikiwa na masister wa kikenya mwanza
Ok, tena umekwisha sema masista wa Kikenya, kwenye mashindano ya kimataifa Kenya wana michezo mingi sana ya kuwakilisha nchi yao, sisi hata riadha yenyewe tunasua sua.
 
Back
Top Bottom