Sasa kule kwetu lini tutajengewa bwawa la kuogelea angalau moja kila mkoa?
Mimi si BAVICHA lakini alieacha mpaka shule zikakosa madawati katika miaka 55 ya uhuru ni nani?Tunapambana wadogo/watoto zetu wapate madawati na vitabu vya kutosha wewe unataka wajengewe mabwawa!
Bavicha bana! Sijui nani aliwaloga!
Ok, tena umekwisha sema masista wa Kikenya, kwenye mashindano ya kimataifa Kenya wana michezo mingi sana ya kuwakilisha nchi yao, sisi hata riadha yenyewe tunasua sua.Lipo moja kwenye shule ya wasichana Loreto wanadai ni nzuri bahati mbaya ni shule wa girls inamilikiwa na masister wa kikenya mwanza