Waziri Nape aishukuru mchango wa JamiiForums kwa kuendelea kuhabarisha umma

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Waziri Nape ameyasema hayo leo Bungeni wakati akiwasilisha makadirio ya bajeti ya wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari tarehe 16/5/2024.

Your browser is not able to display this video.
"Napenda kuvishukuru vyombo vya habari vyote pamoja na jumuiya zao ikemo MOAT, TAMWA, MCT, UTPC, MISA-TAN, TADIO, TMF, TEF, JOWUTA, JUMIKITA, na JamiiForums kwa kuendelea kuhabarisha umma" - Waziri Nape Nnauye

====

Pia soma:
Waziri wa Habari, Nape Moses Nnauye anawasilisha Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi 2024/2025, Mei 16, 2024
 
Waziri Nape ameyasema hayo leo Bungeni wakati akiwasilisha makadirio ya bajeti ya wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari tarehe 16/5/2024
Amekutaja hadi wewe kama ni crush wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huku ndio Great thinkers tu wanaishi,

Jf ndio sehemu unaweza ukapata habari kwa uhabari wake
 
Mamba!
 
Huku kuna watu kama 1000 hv kwa uchache wenye uwezo mara dufu yake na wala sio mawaziri...anapaswa kujifunza sana hapa kama hatakaza fuvu lake!.
 
 

Attachments

  • IMG-20240519-WA0064.jpg
    111.1 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…