BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Wanajitafutia magonjwa ya moyo na shinikizo la damu na preshaKiukweli kutomchukia Diamond kunahitaji roho yenye upako... hapa ndipo ninapowaelewa wale wooooooote wanaomchukia jamaa!!! Thamani ya hiyo office table na hivyo viti pamoja na kabati pekee, ni kodi ya ghetto ya miaka 2 ya majority ya wana-JF wanaomkashifu Diamond kwamba hajasoma na eti Mswahili!!
Ushauri kama huo nimekuwa nikiutoa hapa jamvini kwa takribani miaka 3 sasa; kwamba, hata kama jamaa unamuona hajui lakini kujaribu kumchukia ni kujitafutia magonjwa ya moyo bila sababu manake kila wakati utapata taarifa njema kwake lakini zinazomkwaza hater!Wanajitafutia magonjwa ya moyo na shinikizo la damu na presha
Halafu kuna tofauti kati mtu aliyekutembea na anayehitaji huduma.. ni kweli wangekaa aidha katika kochiKawaida ukipokea mgeni kiongozi wako unatakiwa kutoka nyuma ya meza yako na kukaa nae kwenye makochi pembeni muongee, Diamond alichofanya ni utovu wa nidhamu na kujisikia.
Dr Magufuli mda si mrefu nae ataenda kumtembelea diamond!
Hivi waliomaliza shule moja na diamond na kuendelea kusoma na wameajiriwa serikalini au sector binafsi hvi watakuwa na mafanikio ya diamond? Hapa ndiyo napo ona shule haina umuhimu!
Kwahiyo mlitaka akae kwenye makochi ili mseme siyo ofisi yake?Kawaida ukipokea mgeni kiongozi wako unatakiwa kutoka nyuma ya meza yako na kukaa nae kwenye makochi pembeni muongee, Diamond alichofanya ni utovu wa nidhamu na kujisikia.
Hebu tuoneshe ofisi yako tulinganisheOfisi kubwa wapi bhana,kabati na viti bya mchina hivyo,milioni moja unajaza vyote hivyo sema yeye kwa kazi yake ya "upunda" amemudu
Tatizo siyo kujionyesha naongelea heshima kwa waziri wake, nadhani Mh Nape hakushtukiza kumtembelea pale, alifanya appointment, avae vizuri basi kubeba image yake, pia kumpokea na kukaa nae kwenye makochi pembeni, hata rais mstaafu Mwinyi alipotembelewa na Michael Jackson hakukaa nyuma ya meza kama Diamond.Kwahiyo mlitaka akae kwenye makochi ili mseme siyo ofisi yake?
Diamond hakuna alichokosea hata angekaa juu ya meza na kuongea na mgeni wake ni sawa tu, mimi binafsi sioni tatizo.
Lakini wasanii wenzake wameshindwa hata kuwa na ofisi ya aina yake,tena wengine wameanza kitambo zaidi kuliko yeye.Hiyo ofisi ina ukubwa gani bwana mdogo? Ungesifia furniture za ofisi angalau ningekuelewa, wenye ofisi kubwa ni kina Nimrod Mkono wanaochukuwa floor nzima ya PPF Tower
Hahaha....eti upunda though wenzake wamefanya upunda kitambo mpaka wamekuwa wateja lakini hata hako kaofisi kadogo wameshindwa kuwanacho.Ofisi kubwa wapi bhana,kabati na viti bya mchina hivyo,milioni moja unajaza vyote hivyo sema yeye kwa kazi yake ya "upunda" amemudu