Waziri Nape Nnauye akitumbuiza

Ilikuwa incidence gani hiyo? Nape tunapishana kwenye Itikadi za chama lakini kwa hilo amenikuna
 
Jamaa anajua kuimba aisee!

Kwa nini asingeacha tu Siasa na kuliendeleza Burudani?

Namshauri Nape aanze kuimba,kwa sababu ashapata jina hivyo atajizolea mashabiki lukuki na atafanya Kazi isiyo na stress kama aifanyayo sasa hv!
 
goli la kichwa hiloooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…