Waziri wa Fedha Dr Mwigulu PhD amesema wataweka Utaratibu pale Bandarini ambapo Wafanyabiashara wenye mapingamizi ya Kodi Wataruhusiwa Kutoa Mizigo baada ya Kulipa kodi Isiyobishaniwa.
Mwigulu amesema hatua hii inakusudia kuokoa bidhaa ambazo zinaweza Kuoza wakati wa kusubiri suluhisho la pingamizi.
Source: Eatv